Recent

JIFUNZE MAMBO MBALIMBALI YATAKAYOKUPA MAARIFA NA UJUZI MAISHANI

Friday, 5 August 2016

Ratiba ya mechi za Play offs Ligi ya Mabingwa Ulaya 2016/2017


Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo August 5 2016 limechezesha droo ya mechi za play off kwa ajili ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya, UEFA limechezesha droo ya mechi za play offs kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi za kwanza zitachezwa August 16/17 na marudiano itakuwa August 23/24.

0 comments:

Post a Comment