Saturday, 13 August 2016
Muslim University of Morogoro yatoa mikopo (Ada) kwa wanafunzi 2016/2017
Chuo kikuu cha Waislamu cha Morogoro kimetoa fursa mpya ya kupata mkopo kwa wahitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2016 ambao wanaotarajia kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza. Mkopo huo unahusu gharama za ada chuoni. Kwa maelezo zaidi ingia kwenye website ifuatayo kupakua form hiyo.
www.mum.ac.tz
0 comments:
Post a Comment