Saturday, 6 August 2016
HABARI PICHA : MAANDALIZI YA MAONESHO YA NANE NANE MKOANI ARUSHA YAFANA
Baadhi ya watu waliojitokeza katika maandalizi hayo wakijaribu kupita huku na huko ili kujionea namna bidhaa mbalimbali zilizopo katika maeneo hayo.
Pichani ni maonensho ya kilimo cha kisasa ambapo kuna mazao mbalimbali yakiwemo nyanya, kabichi, vitunguu, nyanya chungu, matango, karoti pamoja na pili.
Maonesho ya miti mbalimbali pia yalikuwepo katika viwanja vya nanenane mkoani Arusha.
Pichani ni banda la maonesho ya kampuni ya mafuta ya kula ya sunbet nao pia walikuwepo katika kusherehesha shughuli hiyo.
Pichani ni taasisi ya dini ya kiislamu ya AHMADIYA na wao pia walikuwepo.
Pichani ni mashine ya egg incubator ambayo inatumika katika kutoteleshea vifaranga vya kuku.
Pichani ni banda la mtandao wa simu za mkononi was ARTEL na wao pia walikuwepo katika kutangaza huduma zao.
Pichani ni kampuni ya uzalishaji na usambaji wa simenti nchini ya SIMBA CEMENT. Nao pia walikuwepo katika maonesho hayo.
Pichani ni kampuni inayojishughulisha na huduma za vipodozi nchini ya MOVIT
0 comments:
Post a Comment