Thursday, 25 August 2016
Home »
Burudani
» Je wajua? Mtandao wa facebook umegundua huduma mpya itakayokufanya uwe live kwenye wall yako. Bonyeza linki hii kujifunza namna ya kutumia.
Je wajua? Mtandao wa facebook umegundua huduma mpya itakayokufanya uwe live kwenye wall yako. Bonyeza linki hii kujifunza namna ya kutumia.
Sasa unaweza kwenda live kwa kutumia account yako ya Facebook. Yaani unaweza kushare na watu kile unachokifanya ukiwa live na marafiki wako wa Facebook wakakuona. Mwanzoni huduma hii ilianzia marekani lakini hivi majuzi imeweza kusamaa duniani.
Nadhani huduma hii umeletwa ili kushindana na snap chat ambayo kila siku imekua ikipata watumiaji wengi. Vilevile unaweza kuitumia kwenye events nyingi na marafiki wako wakajumuika na wewe kwa kutazama mfano, birthday, harusi, vikao, michezo na nk.
Jinsi ya kwenda live Facebook
1. Fungua Facebook yako
2. Kuwa kama unataka kuandika status yako then angalia chini unaona alama nyekundu iliyo andika " go live". Kama inavoonekana kwenye picha chini
3. Bonyeza kwenye go live then itakudirect uipe caption video then itakuonyesha chini kuwa uanze. Ukishanza itakuhesabia hadi tatu then utaanza kuruka hewani.
NB unatakiwa uwe na bando kwenye kifaa chako na Internet iwe na speed kidogo.
0 comments:
Post a Comment