Recent

JIFUNZE MAMBO MBALIMBALI YATAKAYOKUPA MAARIFA NA UJUZI MAISHANI

Tuesday, 9 August 2016

Kauli ya Tundu Lissu kwa Rais Magufuli leo August 9 2016

August 9 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekutana na waandishi wa habari Dar es salaam kutoa taarifa kwa umma kuhusu taarifa za vitisho wanazokuwa wakizipata kutoka serikalini.
Mwanasheria wa chama hicho Tundu Lissu amesema>>>’Hakuna mtu anataka kumjaribu mtukuru Rais na wala hakuna anayetaka kukamatwa na Polisi, mahabusu sio pazuri niwaambieni mimi ambaye nimekuwamgeni wa dola mara mbili katika mwezi uliopita‘ –Tundu Lissu
Tunachotaka kukifanya ni ambacho kipo katika katiba, mikutano na maandamano ya kisiasa kwakuwa ni halali. Kama kufanya hivyo Rais Magufuli anafikiri tunamjaribu hayo ni mawazo yake‘ –Tundu Lissu
Unaweza kushiriki kwa kutoa maoni yako.
Picha kwa hisani ya Millard Ayo.

0 comments:

Post a Comment