POST ZA MWISHO ZA FACEBOOK NA TWITTER NA VIDEO YA MWISHO YA MAREHEMU LANGA KILEO
Ikiwa ni siku chache baada ya kuondokewa
na mpendwa wetu Albert Mangwea, tasinia ya Muziki wa kizazi kipya
imepata pigo jingine kubwa kwa kuondokewa na msanii wa Hip Hop
anaejulikana kwa jina la Langa Kileo.
Langa amefariki dunia akiwa
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kulazwa jana
akisumbuliwa na malaria kali
Zifuatazo ni post za mwisho za facebook na twitter pamoja na video yake mpya ya marehemu Langa
0 comments:
Post a Comment