.Hazi ni baadhi ya maiti
Hizi ni damu za wahanga
Watu
saba wamejeruhiwa kwa mlipuko unaohisiwa kuwa ni bomu,mara baada ya
mkutano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) uliokuwa
ukifanyika katikaViwanja vya Soweto Mjini Arusha.
imeripotiwa kuwa watu wawili wamefariki dunia papo hapo, tunaelekea wapi Tanzania
0 comments:
Post a Comment