kwa
mujibu wa taarifa kutoka katika familia ya marehemu Langa Kileo,
mazishi ya msanii huyo yatafanyika siku ya jumatau katika makaburi ya
Kinondoni, mwili wa Marehemu utaagwa kuanzia saa saba mchana huko
mikocheni nyumbani kwa wazazi wake Langa karibu kabisa na Hospitali ya
AAR.
0 comments:
Post a Comment