Recent

JIFUNZE MAMBO MBALIMBALI YATAKAYOKUPA MAARIFA NA UJUZI MAISHANI

Monday, 12 September 2016

Kumbukumbu : Habari picha leo ni Mwaka mmoja tangu kilipotokea kifo cha ghafla cha Mohamedi Mtoi


Leo ni mwaka mmoja tokea kilipoteka kifo cha kustukiza cha aliyekuwa mgombea wa awali katika kiti cha ubunge jimboni Lushoto Bw. Mohamedi Mtoi Kanyawana.

Ni miongoni mwa vijana makini wa chadema ambao angeweza kuwa kiongozi mzuri sana hapo baadae. 

Inshallah Mwenyezi mungu amjaaliye makazi mema ya peponi ndugu Mohamedi Mtoi..............










0 comments:

Post a Comment