Recent

JIFUNZE MAMBO MBALIMBALI YATAKAYOKUPA MAARIFA NA UJUZI MAISHANI

Saturday, 23 July 2016

Yajue Mambo 10 Ya kitafiti, Kuhusu SAIKOLOJIA na Jinsi yanavyoathiri Maisha yako



1:Kama Ukitanganza Malengo yako na Mipango kwa watu, Kuna uwezekano mkubwa yasitekelezeke, kwa sababu utapoteza motisha, Utafiti umeonyesha.



2:Wimbo unaoupenda kuliko wowote ule, Utafiti unaonyesha unaupenda kwa sababu unauunganisha na Tukio flani La kihisia maishani.



3:Kutumia Kipato chako na wengine Kinakupa furaha zaidi Kuliko ukitumia wewe binafsi. Na Pili Kiini cha furaha ya kudumu ni Kutumia Pesa zako katika UZOEFU kama utalii,kutembelea yatima au tukio la kijamii etc kuliko kwenye Kujilimbikizia mali au kununua vitu binafsi.



4:Watafiti wanabishana kwa hoja kama UTEJA WA MTANDAO/INTERNET ADDICTION kama nao uongezewe kwenye listi ya MATATIZO YA AKILI.



5:Kuna Kinasaba/GENE ambacho kinaweza kukufanya ukawa mtu mwenye mtazamo hasi/NEGATIVE katika karibu kila kitu.

6:Ubongo wako unachukulia Kuachwa/kukataliwa/kutengwa/REJECTION kama maumivu halisi au PHYSICAL PAIN maumivu kama ambavyo ungeyapata baada ya kujikwaa na kutoka kucha.



7:Asilimia 68 wa watu wenye simu za mikononi wanasumbuliwa na udhaifu uitwao PHANTOM VIBRATION SYNDROM. Yaani kuhisi simu yako inavibrate wakati iko sawa tu.



8:Matendo ya kidini kama vile KUSALI, KUSHIRIKI IBADA, hupunguza KWA KIASI kikubwa Madhara ya Kisaikolojia kama vile Misongo ya Mawazo.

9:Tafiti zinaonyesha watu ambao ni COMEDIAN na wa kupenda KUSHKESHA WATU muda wote, huwa na misongo ya mawazo au Stress kuliko wastani.



10:Msongo wa mawazo uliopitiliza husababisha KUZEEKA MAPEMA. Unachochea seli kuzeeka kwa haraka kabla ya muda wake.

Karibuni kwa maoni zaidi






0 comments:

Post a Comment