Thursday, 21 July 2016
Home »
» Tazama picha zaidi ya kumi za Boti zinazotumia umeme wa mionzi ya Jua (Solar)
Tazama picha zaidi ya kumi za Boti zinazotumia umeme wa mionzi ya Jua (Solar)
1. Boti hii inayotumika Uswiss
2. Boti hizi zinatumika Australia
3. Boti hizi zinatumika Marekani
4. Boti hii inayotumika India
5. Boti hii iliotengenezwa na wajerumani na planet solar company ni boti kubwa Duniani yenye uwezo mkubwa wa solar power na sehemu ya juu imefunikwa na vipande vya solar.
6. Boti hizi zinatumika kama boti za mashindano Ufaransa
0 comments:
Post a Comment