ℹ️ ABOUT US

 Kuhusu TEKNOLOJIA YETU

TEKNOLOJIA YETU ni blog ya elimu ya teknolojia kwa lugha ya Kiswahili, iliyoanzishwa kwa lengo la kuwasaidia watu kuelewa teknolojia kwa urahisi na kuitumia kuboresha maisha yao.

Tunatoa: 👉 Mafunzo ya matumizi ya teknolojia

👉 Habari mpya za tech duniani

👉 Mbinu za kukuza blog na mitandao ya kijamii

👉 Njia halali za kipato mtandaoni

Dhamira yetu ni kuwajengea wasomaji maarifa ya kidigitali kwa maendeleo bora.

Comments

Popular posts from this blog

Namna Rahisi ya Ku-edit Video kwa CAPCUT Editor – Mwongozo Kamili kwa Watanzania

Njia Bora na Halali za Kupata Pesa Mtandaoni Tanzania

Ukweli Kuhusu Kupata PESA MTANDAONI Ambao Watu Hawakuambii